Monday, February 10, 2014

WAKATI NAPE NA KINANA WAKIDAI SUGU NI MPANGAJI MBEYA AWAJIBU KAJENGA GHOROFA


Akihutubia mkutano wa kufunga kampeni za udiwani kata ya malindo wilayani rungwe,Sugu amesema yeye kajenga ghorofa jijini mbeya na wala si mpangaji kama adhanivyo nape pia kamwambia kinana kuwa karibu na wakulima ni kuwapa mbolea na si kupiga picha na wakulima kisha kutoa gazetini. Akizungumzia hoja ya nape aliyesema sugu ni mpangaji jimbo la mbeya mjini sugu amekosoa hoja hiyo,pia kuhusu mgogoro ndani ya chadema kasema imebaki historia ila wana ccm wana gogoro linalokua kila siku.hakika nguvu ya umma 

No comments:

Post a Comment